LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 18, 2018

RAIS DK. MAGUFULI ATOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI TANO KWA MTOTO LATIFA KADOGOSA ALIYEPOOZA MWILI JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu wa Rais Ngusa Samike akimkabidhi Rehema Kadogosa ambaye ni Mama wa Mtoto Latifa Kadogosa (13) aliyelala kitandani kiasi cha Shilingi milioni tano (5,000,000/-) fedha zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya kumsaidia mtoto huyo ambaye ana matatizo ya kiafya jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages