Friday, June 22, 2018

DK. BASHIRU, AKUTANA NA KUFANYA MAUNGUMZO NA WAZIRI MKUU NA BALOZI WA RWANDA, LEO JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akimkaribisha Waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa, kwa ajili ya mazungumzo, ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, leo.
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akizungumza na Waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa, ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, leo
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akimkaribisha Balozi wa Rwanda nchini Eugene Kayihura, kwa ajili ya mazungumzo, ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, leo.
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Eugene Kayihura, ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, leo.

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.