LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 27, 2018

CCM WASHINGTON DC, VIRGINIA NA MARYLAND WAWAPIGA TAFU UVCCM MAGU

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Washington DC, Virginia na Maryland 
Wametoa msaada wa vyakula ikiwemo Mchele, mbuzi, maharage, matunda, maji soda  na fulana kwa vijana wa Magu mkoani Mwanza walikuwa wamepiga kambi.

Katibu Mwenezi wa Tawi la Washington DC Virginia na Maryland 
Salma Moshi kwa niaba ya Tawi  alisema hilo ni jukumu lao kusaidia vijana wanapokuwa katika shughuli mbalimbali kama hiyo ya kuweka kambi kwa manufaa ya CCM.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (VCCM) wa wilaya Magu
Mwakimu Ayubu  Bindule 
Ameshukuru sana  na kusema huu ndio ushirikiano unaohitajika.

vijana wlimaliza Kambi siku ya Alhamisi, June 21. 2018

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages