LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 23, 2018

BASI LA AL SAEDY LAKAMATWA NA KIROBA CHA BANGI MORO, ABIRIA WASOTA KWA SAA TANO

Mkuu wa kituo cha Polisi cha Mikese mkoani Morogoro Mkaguzi Msaidizi wa  Polisi Yusuf Masoli akimpeleka kituoni hapo kondakta wa Basi la Al Saedy baada ya basi hilo kukamatwa na Polisi baada ya kukutwa na kiroba cha bangi wakati likitaka kupita eneo hilo la Mikese likitokea Morogoro kwenda Dar es Salaam leo. Kufutia tukio hilo abiria wamesota beada ya kulazimika kurudi mjini Morogoro na basi hilo ambalo sasa linashikiliwa katika Kituo Kikuu Cha Polisi mkoani humo baada ya wafanyakazi wa basi kushindwa kutaja mwenye kiroba hicho cha bangi. Picha zote na Bashir Nkoromo 




No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages