Monday, February 19, 2018

VIONGOZI KUTOKA UVCCM IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU WAENDA KUTOA POLE MSIBA WA MWANAFUNZI ALIEUAWA KWA RISASI

 Mbunge wa Viti Maalum kupitia Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM, Dk Jasmin Tsekwa na Kaimu Katibu wa Idara hiyo Taifa, Ndugu Daniel Zenda wakiwa katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili walipowenda kutoa pole kwa familia ya Marehemu Aquilina, ambaye alifariki dunia baada ya kupigwa risasi katika eneo la Mkwajuni Kinondoni Dar es Salaam, Ijumaa, Februari 16, 2018. 
 Mbunge wa Viti Maalum kupitia Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM, Dk Jasmin Tsekwa na Kaimu Katibu wa Idara hiyo Taifa, Ndugu Daniel Zenda wakimpa pole kaka wa marehemu  Aquilina, walipoenda kutoa pole kwa familia ya marehemu huyo katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Aquilina alifariki dunia baada ya kupigwa risasi katika eneo la Mkwajuni Kinondoni Dar es Salaam, Ijumaa, Februari 16, 2018.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.