LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 2, 2018

BABU SEYA NA WANAE WATINGA IKULU, WAONANA NA RAIS DK MAGUFULU NA KUSHIKANA NAYE MIKONO, LEO

 Rais Dk. John Magufulu akiwa ameshikana mikono na Mwanamuziki nguli Nguza Vicking "Babu Seya" (wapili kushoto) na watoto wake Johnson Nguza "Papii Kocha", (kushoto) Francis Nguza na Michael Nguza (kulia) walipofika Ikulu Jijini Dar es Salam. Babu Seya na wanaye waliachiwa huru kwa msahama wa Rais Dk Magufuli wakati wa Sherehe za Uhuru, Desemba 9, 2017, baada ya kuwa gerezani kwa kifungo cha maisha miaka 13 iliyopita
Mwanamuziki Nguza Vicking "Babu Seya" (kushoto)  na watoto wake walipokuwa wakiingia Ikulu leo.

SOMA TAARIFA YA IKULU

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages