LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2017

MPANDA MILIMA MASHUHURI DUNIANI APANDA MLIMA KILIMANJARO

Muongoza Watalii,Elvas Mlengwa wa kampuni ya Karibu Adventure akishusha Baiskeli maalumu kwa ajili ya zoezi la kupanda Mlma Kilimanjaro.
Baiskeli Maalumu zinazotumika kwa ajili ya kupanda Milima .
Muongoza Watalii, Ally Chuwa wa Kampuni ya Karibu Adventure akiweka kumbukumbu za vipimo vya mratibu wa Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kutumia Baiskeli, Mario Martos  wa Safari Bike Africa kabla ya kuanza kupanda Mlima.
Mmoja wa wageni wanaofanya utalii kwa njia ya Baiskeli ,Ramon Abecia akiandaa baiskeli yake kabla ya kuanza safari ya kuelekea kilele cha Uhuru.
Mpanda milima Mashuhuri kwa kutumia Baiskeli Duniani,Juanito Oiarzabal(katikati) raia wa Ureno na wenzake ,Ramon Abecia (kulia) na Eduardo Pascuaz wakijiandaa kuanza safari ya siku tano kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Mpanda milima Mashuhuri kwa kutumia Baiskeli Duniani,Juanito Oiarzabal(katikati) raia wa Ureno na wenzake ,Ramon Abecia (kulia) na Eduardo Pascuaz wakiwa katika picha ya pamoja na Mratibu wa safari hiyo ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Safari Bike Africa ,Mario Martos pamoja na waongoza watalii ,Ally Chuwa na Elvas Mlengwa kabla ya kuanza safari ya siku tano kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro
Eduardo Pascuaz akifunga kofia ngumu kabla ya safari ya kuelekea Kilele cha Uhuru kuanza.
Mpanda milima Mashuhuri kwa kutumia Baiskeli Duniani,Juanito Oiarzabal(katikati) raia wa Ureno na wenzake ,Ramon Abecia (kulia) na Eduardo Pascuaz wakijiandaa kuanza safari ya siku tano kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Juanito Oiarzabal na wenzake ,Ramon Abecia  na Eduardo Pascuaz wakiianza changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages