LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 15, 2017

RAIS ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI ZANZIBAR, APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA SITA WALIOKIMBIZA MWENGE WA UHURU

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakitembea kwenye mitaa ya Stone Town mjini Zanzibar wakielekea katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakipokewa na Askofu Augustine Shayo walipowasili  katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa wakishiriki ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na mtoto Goodluck Cosmas Ndulu wakati yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili wakishiriki ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Augustine Shayo katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Augustine Shayo katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Askofu Augustine Shayo na watawa vkatika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakitembea kwenye mitaa ya Stone Town mjini Zanzibar wakielekea katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017.PICHA NA IKULU.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipakua chakula na mmoja wa vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru aliowaalika kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017.
 Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages