Sunday, October 15, 2017

MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIVUKONI AONGOZA WANACCM KUSAFISHA MAZINGIRA SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BABA WA TAIFA

 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni jijini Dar es Salaam, Sharik Choughule (kushoto) akishirikiana na wana CCM na wananchi kwa jumla kusafisha mazingira jana katika eneo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Biashara, ikiwa ni sehemu ya Kumbukumbu ya Kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere.

 wakiendelea kufanya usafi wa mazingira katika eneo hilo
 Wananchi wakishiriki kufanya usafi katika eneo hilo
 Wakiwa wameweka takataka katika mivuko maalum kwa ajili ya kuiweka katika gari maalum la kusomba taka
 Wakikipoza makoo kwa maji baada ya kazi hiyo ya kusafisha mazingira
 Wakiwa karibu na shule ya Bunge ambako pia walifanya usafi
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamis Kigwangala akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni Sharik Choughule baada ya kukutana wakati waziri huyo akiwa kwenye Jongging na Mwenyekiti huyo akiwa katika shughuli za kusafisha mazingira.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.