HABARI MPYA

Your Ad Spot

Oct 22, 2017

MGONJA ANOGESHA KIKAO CHA BARAZA KUU LA JUMUIYA YA WAZAZI UBUNGO

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akizungumza wakati akifunga kikao Cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Wazazi katika Wilaya hiyo, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Dolphin, Sinza jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Ubungo Mbaruku Masudi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ubungo Justin Sambu na Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuia hiyo mkoa wa Dar es Salaam Bernard Lwehabura. Kikao hicho, pamoja na mambo mengine kilijadili mstakabali wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ubungo katika Uchaguzi wa marudio wa Udiwani Kata ya Saranga.
 Baadhi ya viongozi wa meza kuu wakiwa kwenye kikao hicho. Kushoto ni Katibu wa Jumuiya hiyo Wilaya ya Ubungo Eva Manembe.

 Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Wazazi wakiwa meza kuu
 Mmoja wa wajumbe Khalifa Khalifa akiuliza maswali katika kikao hicho. Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Mburahati John Mapunda
 Mmoja wa wajumbe Christina kalukua akiuliza maswali katika kikao hicho.
 Mmoja wa wajumbe Godfrey Chilongola akiuliza maswali katika kikao hicho
 Mmoja wa wajumbe Viona Maganda akiuliza maswali katika kikao hicho
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ubungo Justin Sambu, akimkaribisha Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja alipowasili kufunga kikao hicho.
 Wajumbe wakiwa wamesimama kumlaki Mgonja ukumbini.
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akiwa na miongozi wengine baada ya kuwasili meza kuu kwa ajili ya kufunga kikao hicho
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mjonga akisalimia Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magunda
 Baadhi ya viongozi meza kuu. Kulia niMjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magunda
 Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ubungo Justin Sambu akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja kuzungumza na kufunga kikao hicho
 Mweneyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akizungumza kabla ya kufunga kikao hicho
 Mgnja na viongozi meza kuu wakifurahia jambo baada ya kufungwa kikao hicho
 Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magunda akiongoza maombi ya kubariki chakula kwa ajili ya wajumbe na waalikwa baada ya kikao kumalizika
 Wajumbe wakijisevia chakula
 Chakula baada ya kikao
 Foleni ya chakula
 Chakula
 Chakula
 Katibu w Elimu na Malezi wa Jumuiya ya Wazazi Kata ya Saranga Godfrey Chilongola akitoa neno la shukurani 
 Mjumbe wa kamati ya Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magundaakitoa neno la shukurani 
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akiagana na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Utendaji ya Jumuiya hiyo wilaya ya Ubungo Emmy Magunda, baada ya kikao kumalizika
 Mgonja akimsikiliza mmoja wa wajumbe wakati akiagana naye
 Mgonja akiondoka ukumbini
 Mgonja akiagana na viongozi na wajumbe wakati akiondoka.
 Mgonja akiagana na Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi Kata ya Mburahati John Mapunda. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages