LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA FAO, AAGANA NA BALOZI WA CHINA AONANA NA MZEE BUTIKU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani Bw. JosĂ© Graziano da Silva  alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa  Mwakilishi Mkazi wa FAO  nchini Bw.  Fred Kafeero    na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani Bw. alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Meshack Malo Ofisa aliyeongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani Bw. JosĂ© Graziano da Silva alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kitabu na kadi toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani Bw.  Bw. JosĂ© Graziano da Silva alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Mkurugenzi Mtendaji wa Mwalimu Nyerere Foundation Mzee Joseph Butiku aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na  Mkurugenzi Mtendaji wa Mwalimu Nyerere Foundation Mzee Joseph Butiku aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwalimu Nyerere Foundation Mzee Joseph Butiku aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake nchini Dkt. Lu Youqing alipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kinyago  Balozi wa China aliyemaliza muda wake nchini Dkt. Lu Youqing    alipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2017.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu Balozi wa China aliyemaliza muda wake nchini Dkt. Lu Youqing    alipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2017

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages