Sunday, September 17, 2017

OFISA WA CCM MAKAO MAKUU CUTHBERT MIDALA AFUNGA NDOA NA CATHERINE, DAR

Hayawi hayawi mwisho huwa. Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, Cuthbert Midala na Mkewe Catherine, wakionyesha pete zao vidoleni, baada ya kufunga ndoa mubashara, katika Kanisa la ECWC, Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, jana, Jumamosi Septemba 16, 2017. Baadaye walihitimsha kwa mnuso mkali uliokutanisha Wazazi, Ndugu, Marafiki na Jamaa, katika Ukumbi wa Msasani Beach Club, pia Dar es Salaam. Zifuatazo ni picha kem kem za tukio hilo, tafadhali, endelea...
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.