LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 17, 2017

WAHANDISI WATAKAOSIMAMIA UJENZI WA CHUO CHA UONGOZI CHA JULIUS NYERERE MJINI KIBAHA WATEMBELEA OFISI NDOGO YA CCM, DAR, LEO

 Katibu msaidizi Mkuu katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Frank Uhahula akijadili jambo na Ofisa kutoka Ubalozi wa China hapa Nchini, baada ya kumpokea kwa ajili ya mazungumzo na mgeni huyo na ujumbe wa Wahandisi watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika walipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Agosti 17, 2017

 Katibu Msaidizi katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Georgte akisalimia ugeni huo
 Ugeni ukiwasili ukumbini
 Wahandisi watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika wakijiandaa kwa mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Agosti 17, 2017
 Ofisa kutoka Ubalozi wa China akiwa na mkalimani wake kabla ya mazungumzo kuanza
  Katibu msaidizi Mkuu katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Frank Uhahula akiwa na jopo lake kabla ya kuanza mazungumzo na Wahandisi watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika walipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Agosti 17, 2017. Kushoto ni Ndugu Charles Charles na kulia ni Ndugu George

   Katibu msaidizi Mkuu katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Frank Uhahula akizungumza na Wahandisi watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika walipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Agosti 17, 2017. Kushoto ni Ndugu Charles Charles na kulia ni Ndugu George

 Mazungumzo yakiendelea
Mazungumzo yakiendelea. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages