Friday, August 4, 2017

RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DK. JOHN MAGUFULI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi, baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa  mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga, kesho asubuhi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi, Ikulu ya Tanga, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akienda na mgeni wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda, kwenye ghifa ya Kitaifa aliyomwandalia, Ikulu ya Tanga. PICHA NA IKULU
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.