BREAKING NEWS

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 4, 2017

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA KAMISHENI YA ARDHI IKULU

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji
 Mwenyekiti wa Bodi ya  Kamisheni ya Ardhi Bw.Abdi Khamis Faki(kulia) alipokuwa na Wajumbe wa Bodo hiyo  wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya  Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa  Kamisheni ya Ardhi, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Mwenyekiti wa Bodi ya  Kamisheni ya Ardhi Bw.Abdi Khamis Faki(katikati) alipokuwa akitoa maelezo wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya  Ardhi,Maji,Nishati na Mazingirana Uongozi wa  Kamisheni ya Ardhi, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),wengine Katibu Mtendaji Kamisheni ya Ardhi Nd,Ahmed Abdulrahman Rashid (kushoto) na Mshauri wa Rais Uwezeshaji na Uwekezaji Bw.Abdurahman Mwnyijumbe
 Katibu Mtendaji wa  Kamisheni ya Ardhi pia Mjumbe wa Bodi ya Kamisheni ya Ardhi Nd,Ahmed Abdulrahman Rashid alipokuwa akitoa maelezo na Historia ya Kamisheni  wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi,(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya  Kamisheni ya Ardhi Bw.Abdi Khamis Faki
 Mwasheria Mkuu wa Zanzibar  Nd,Said Hassan Said (katikati) alipokuwa akitoa ufafanuzi wa kisheria wakati katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdihamid Yahya Mzee na  Fedha na Mshauri wa Rais Uwezeshaji na Uwekezaji Bw.Abdurahman Mwnyijumbe
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdihamid Yahya Mzee (kulia) akipokuwa akitoa mchango wake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi,kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

No comments:

Post a Comment

Mdau, andikamaoni yako hapa yasaidie kujua wewe unafikiri nini kuhusu posti hii. Tafdhali, Maoni yako yasiwe ya uchochezi wa aina yoyote.. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages