LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 4, 2017

MASAUNI ATEMBELEA KITENGO CHA POLISI CHA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA,KILWA ROAD JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu Waziri wa   Wizara  ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na watumishi wa Kitengo cha Jeshi la Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya pamoja na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipofanya ziara katika kitengo hicho kilichopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, ambapo aliwaagiza kuhakikisha wanapambana na uingizwaji wa dawa hizo kupitia bandari bubu na mianya yote ya uingizwaji na usambazaji.
 Naibu Kamishna wa Kitengo cha Jeshi la Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya, DCP Mkonyi, akitoa taarifa fupi ya hali ya uzuiaji wa Dawa za Kulevya mbele ya Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani   ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,  alipofanya ziara katika kitengo hicho kilichopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, ambapo aliwaagiza kuhakikisha wanapambana na uingizaji wa dawa hizo kupitia bandari bubu na mianya yote ya uingizwaji na usambazaji
 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisomewa takwimu za matukio ya ukamataji wa Dawa za Kulevya na mmoja wa afisa wa  Kitengo cha Jeshi la Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya  wakati alipofanya ziara katika kitengo hicho kilichopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, ambapo aliwaagiza kuhakikisha wanapambana na uingizwaji wa dawa hizo kupitia bandari bubu na mianya yote ya uingzwaji na usambazaji
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiongozana na Naibu Kamishna wa Polisi, DCP Mkonyi, wakati alipotembelea  Kitengo cha Jeshi la Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya kilichopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, ambapo aliwaagiza kuhakikisha wanapambana na uingizwaji wa dawa hizo kupitia bandari bubu na mianya yote ya uingzwaji na usambazaji. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages