LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 12, 2017

KINANA AENDESHA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA BARA NA VISIWANI

 Naibu katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi bara Ndg:Rodrick Mpogoro akizungumza kabla ya ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa na Watendaji wa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 muwasilishaji mada akiendelea
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kulia) akiongoza nyimbo ya hamasa wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Hamasa ikiendelea
Makatibu wa Jumuiya za Chama cha mapinduzi,(wa kwanza kulia)ndg:Seif Shaaban katibu  Mkuu wa Jumuiya ya wazazi (pili kulia) Kaimu katibu mkuu Uvccm ndg:Shaka hamdu shaka pamoja na  Katibu mkuu wa UWT.ndg: AMINA MAKILLAGI (wa nne kutoka kulia) wakifuatilia kwa umakini  Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akiendesha Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

  washiriki wakiuliza maswali katika Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages