DK. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA KAMPUNI YA CHINA HARBOUR ENGINEERING, LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akisalimiana na mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd  Xu Xinpei alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akizungumza na  mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd  Xu Xinpei  wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa  akifuatana na mgeni wake   Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd  Xu Xinpei  baada ya mazungumzo yao wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja  leo