Sunday, July 30, 2017

TANZANIA PRISONS YAIGOMEA YANGA U20 NA KUTWAA KOMBE LA MECHI ZA HISANI 2017 UWANJA WA NYUMBANIMshambuliaji wa Yanga U20, Samwel Geryson (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90. PICHA ZAIDI ZA MTANANGE HUO>/BOFYA HAPA
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.