Monday, July 10, 2017

TAARIFA MUHIMU KWA VIONGOZI WA VIJANA VYUO NA VYUO VIKUU


Ndugu Viongozi wa Seneti Mikoa wa Vyuo na Vyuo Vikuu pamoja na pongezi kwa kazi zinazoendelea hasa kwa kipindi hiki cha Uchaguzi ndani ya Chama.
Mnakumbushwa kutuma taarifa za Uchaguzi zinazo endelea kwa ngazi zote za vyuo na vyuo vikuu.
Mnakumbushwa kutuma taarifa za wahitimu wanachama/makada zinahitajika na mnatakiwa kutuma kabla ya alhamis ya tarehe 13/07/2017. Taarifa hizo ziwe na vituvifuatavyo: Jina kamili, namba ya kadi, kiwango cha elimu/course,chuo ,simu mamba, mkoa/wilaya /Anwani/makazi,barua Pepe. (database-muhimu).
Sambamba kuwakumbusha kutumia fursa iliyotolewa na Serikali FURSA AJIRA zilizotangazwa kwa wenye sifa.
Tukiwa tayari tufahamishe muhimu.

Imetolewa
Daniel Zenda
K/Katibu wa Idara Vyuo na Vyuo Vikuu. 
UVCCM -Taifa.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.