RAIS DK. MAGUFULI LEO ASUBUHI AWAHAKIKISHIA UYUI MKOANI TABORA KUPATA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA

Rais Dk. John Magufuli leo Julai 25, 2017, ameendelea na ziara yake ya kikazi katika baadhi ya mikoa hapa nchini ambapo asubuhi hii. Pichani, Rais Dk. Magufuli akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kigwa Wilaya ya Uyui akiwa mkoani Tabora, ambapo amewahakikishia wananchi wa Kijiji hicho kuwa Serikali itawaletea maji kutoka mradi wa maji kutoka ziwa Victoria.