RAIS DK. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA KAGOMA-BIHARAMULO-LUSAHUNGA, LEO

 Rais Dk. John Magufuli  leo amefungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo hadi Lusahunga yenye urefu wa kilometa 154.  Barabara hii imeunganisha mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma,Mwanza, Shinyanga na nchi jirani za Burundi, Ugaada na Rwanda
Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia kinamama baada ya kufungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo hadi Lusahunga yenye urefu wa kilometa 154.  Barabara hii imeunganisha mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma,Mwanza, Shinyanga na nchi jirani za Burundi, Ugaada na Rwanda. Picha na Michuzi Blog.