Tuesday, July 11, 2017

RAIS AMTEUA PROF LUOGA KUWA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI TRA

Rais Dk. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Julai, 2017 amemteua Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (Taaluma), Prof. Florens D.A.M Luoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Prof. Florens D.A.M Luoga anachukua nafasi ya Bernard Mchomvu ambaye Bodi yake ilivunjwa na uteuzi wake kutenguliwa. Uteuzi wa Prof. Florens D.A.M Luoga unaanza mara moja.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.