KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT CHAFANYIKA, DAR

 Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akisoma mapato na matumizi ya Jumuia hiyo, katika kikao cha Kamati ya Utekelezaji kilichofanyika jana Makao Makuu ya Jumuia hiyo mjini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akifafanua jambo ktika kikao cha Kamati ya Utekelezaji kilichofanyika jana Makao Makuu ya Jumuia hiyo mjini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akifafanua jambo ktika kikao cha Kamati ya Utekelezaji kilichofanyika jana Makao Makuu ya Jumuia hiyo mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kikao hicho Dk.Maua Daftari.
 Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akifafanua jambo ktika kikao cha Kamati ya Utekelezaji kilichofanyika jana Makao Makuu ya Jumuia hiyo mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kikao hicho Dk.Maua Daftari. ZINAZOENDELEA NI TASWIRA ZAIDI YA MKUTANO HUO...