Tuesday, July 25, 2017

KENYA WATUMIA JINA LA RAIS DK. MAGUFULI KUSAKA KURA

Wakati kuna baadhi ya Watanzania wachache ambao wanabeza umahiri wa Rais Dk. John Magufuli katika kulitumikia Taifa kwa uwezo wake wote kuhakikisha inakuwa nchi ya mfano hasa kiuchumi na maadili, Katika nchi za nje Juhudi hizo wanaziona na kuzitamani zitokee katika nchi zao. Pichani mmoja wa wanasiasa akiwa amevaa shati lenye jina la Rais Magufuli kama moja ya njia ya kujinadi kwa wapigakura ili kuungwa mkono kwa kufananishwa na Rais Dk Magufuli
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.