KATIBU WA BARAZA LA MAWAZIRI AMEFARIKI DUNIA

Habari tulizozipata hivi punde zimedai kuwa Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Shebuge (pichani) amefariki dunia.  

Hata hivyo kwa kuwa habari hizi hazijathibitishwa  rasmi tunafuatilia ili kuwapasha taarifa rasmi itakayojiri.
Karani huyu ni yule ambaye kusimama sambamba na Katibu Mkuu Kiongozi wakati Rais akitoa kiapo kwa mteule.