CCM BLOG YATIMIZA WASOMAJI (VISITORS) ZAIDI YA MILIONI 2.6 LEO

Blog ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), CCM Blog, imetimiza wasomaji (Visitors) milioni 2.6 (2,658,299) hadi ilipofika saa tano na nusu, leo Julai 25, 2017. Mtayarishaji Mkuu wa Blog hii, anakushukuru sana kwa kuwa mmoja wa wadau ambao wamewezesha idadi hii kufika. Kwa habari au matukio ya kijamii tutumie kwa:- nkoromo@gmail.com, kwa mawasiliano zaidi tupigie 0712498008