BIASHARA HARAMU YA BINADAMU

Katibu wa Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Seperatus Fella, akizungumza kwenye mkutano na wajumbe wa Kamati na Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu,l engo ikiwa ni kupitia Sheria mbalimbali zinazosimamia kudhibiti biashara hiyo.  Wengine ni Mwenyekiti wa kamati hiyo na Mkurugenzi Mradi wa kuzuia biashara hiyo kutoka Taasisi ya Kimataifa ya RTI, Dk. Lyungai Mbilinyi. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam