Monday, July 31, 2017

BENK YA WATU WA ZANZIBAR PBZ YAIBUKA KIDEDEA MWAJIRI BORA KATIKA USHIRIKISHWAJI NA CHAMA CHA WAFANYAKAZI ZAFICOW

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi ZAFICAW, Rihii Haji Ali (kushoto), akikabidhi cheti cha mwajiri  bora katika Ushirikiano na ZAFICOW kwa mwaka 2017. Kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Juma Ameir Khafidh  wakati wa hafla ya Bonaza la Wafanyakazi wa PBZ lililofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Visiter Inn Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
 Viongozi wa PBZ na wa ZAFICOW wakiimbi wimbo wa ushirikiano wa Wafanyakazi wakati wa hafla hiyo ya kukabidhiwa Cheti zilizofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Visiter Inn Jambiani Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi Zanzibar ZAFICOW Rihii Haji Ali, akitzungumza wakati wa mkutano na wafanyakazi wa PBZ kujua wajibu wao katika kazi na kuwataka kujiunga na Chama hicho kwa faida yao na maslahi kwa muajiri wao. Mwenyekiti huyo alikabidhi pia Kadi kwa wanachama wapya kumi waliojiunga na PBZ. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.