LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 21, 2017

SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez, akizungumza   wakati wa   Siku ya Maadhimisho ya Wakimbizi Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Siku ya Maadhimisho ya Wakimbizi Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Little Theatre,   jijini Dar es Salaam
Wasanii ambao ni wakimbizi walioko katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma, wakiburudisha wageni waliohudhuria Siku ya Maadhimisho ya Wakimbizi Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam
Wasanii wa kundi la Mpoto Theatre, wakiigiza igizo katika Siku ya Maadhimisho ya Wakimibizi Duniani,igizo hilo lilihusu mauaji yanayotokea nchi mbalimbali zilizoko kwenye vita  ambapo hupelekea wananchi wake kukimbilia nchi nyingine na kuomba hifadhi ya ukimbizi.Maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Little Theatre,  jijini Dar es Salaam
Wasanii wa kundi la Mpoto Theatre, wakiigiza igizo katika Siku ya Maadhimisho ya Wakimibizi Duniani,igizo hilo lilihusu mauaji yanayotokea nchi mbalimbali zilizoko kwenye vita  ambapo hupelekea wananchi wake kukimbilia nchi nyingine na kuomba hifadhi ya ukimbizi.Maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages