Sunday, June 25, 2017

SHEIKH MKUU MUFT WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KUONGOZA SWALA YA EID EL FITR KESHO.

Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akitoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) alipowasili mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya shughuli mbalimbali na kuongoza Swala ya Eid El- Fitr iliyopangwa kufanyika Kitaifa mkoani humo.
Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, Sheakh Abubakary Zubery asaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimajaro (KIA) jana.
Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubary Zubery akizungumza na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Gari likiwa tayari kumchukua Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa KIA kwenda mjini
Msafara wa Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, ukitoka katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) kwenda mjini .
Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania. Sheikh Abubary Zubery akiwa na viongozi na waumini wa Dini ya Kiislamu  baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wanawake wa Dini ya Kiislamu walipofika kwa ajili ya kumpokea Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania Sheakh Abubakary Zubery.
Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubery akiwasili katika mmoja wa misikiti iliyopo Wilayani Hai kwa ajili ya Uwekaji wa jiwe la Msingi. 
Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, Sheakh Abubakary Zubery akizindua ujenzi wa jengo hilo litakalokuwa Madrasa.
Kaswida ikitubuizwa kumlaki  Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania
Jengo la Ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai ambalo Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, Sheakh Abubakary Zubery amefika kwa ajili ya uzinduzi wake.
Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, Sheakh Abubakary Zubery akisalimiana na waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kuwasili katika ofisi za Bakwata wilaya ya Hai kwa ajili ya ufunguzi wa jengo hilo.
Sheik Mkuu, Mufti wa Tanzania, Sheakh Abubakary Zubery akizindua rasmi ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai.
Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubery akitia saini katika kitabu cha wageni baada ya kufungua rasmi ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai.
Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai
Sheikh Mkuu, Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubery akitia saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili Masjid Shafi kwa ajili ya uzinduzi wa msikiti huo
Sheikh Mkuu, Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubery akizindua rasmi Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.
Katibu wa Bakwata wilaya ya Hai, Maalim Mohamed Mbowe akisoma risala wakati wa uzinduzi rasmi wa msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai.
Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubery akizungumza baada ya kuzindua Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kaskazini.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.