RAIS DK SHEIN AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP SIRRO

 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, Ikulu mjini Zanzibar, jana.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, Ikulu mjini Zanzibar, jana.