Monday, June 12, 2017

RAIS DK. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI KATIKA MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE

 Rais Dk. John Magufuli akipokea Ripoti ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini katika mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini Dar es Salaam, leo

 Rais Dk. John Magufuli akionyesha Ripoti ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini katika mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
 Rais Dk. John Magufuli akiitazama Ripoti ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini katika mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
 Rais Dk. John Magufuli akimkadhi Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa nakala ya Ripoti ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini katika mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
 Rais Dk. John Magufuli na Makamu wake Samia Suluhu Hassan, wakipitia Ripoti ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini katika mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini baada ya Rais kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
 Rais Dk. John Magufuli akizungumza baada ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini katika mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini kumkabidhi Ripoti yake, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
 Rais Dk. John Magufuli akizungumza baada ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini katika mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini kumkabidhi Ripoti yake, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
 Rais Dk. John Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza baada ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini katika mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini kumkabidhi Ripoti yake, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
 Rais Dk. John Magufuli akiwa amesimama na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Kaimu Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa hafla ya kupokea Ripoti hiyo, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wananchi na viongozi mbalimbali wa Serikali wakifatilia kwa makini Ripoti ya pili ya Kamati ya Madini Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wananchi na viongozi mbalimbali wa Serikali wakifatilia kwa makini Ripoti ya pili ya Kamati ya Madini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Kaimu Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwenyekiti wa Kamati ya pili ya Madini Propfesa Nehemiah Osoro pamoja na wajumbe wa Kamati hiyo waliojumuika na viongozi wa Dini wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti hiyo,Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. PICHA: IKULU
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.