LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 4, 2017

BULEMBO AWASILI WILAYANI BIHARAMULO MKOANI KAGERA JIONI HII

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk Amani Kaborou wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali, maofisa na wote waliomo kwenye msafara, wakati Viongozi wa mkoa wa Kigoma walipokuwa wakiagana na Bulembo na msafara wake, katika eneo la Nyakanazi, kabla ya kuendelea na msafara huo kwenda wilayani Biharamulo mkoani Kagera leo jioni. Bulembo ameingia mkoani Kagera baada ya kumaliza ziara yake katika mkoa wa Kigoma.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou
 Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma Naomi Kapambala 
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo mkoa wa Kigoma.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiwa na Mkuu wa wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala kabla ya kuagana
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala
 KUWASILI BIHARAMILOđź”˝
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisalimia badhi ya wana CCM walimpokea katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera leo jioni
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimsalimia Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Kagera, Oliva Semguruka
 Mbunge wa Viti Maalm mkoa wa Kagera Oliva Semguruka akikumbatiana mwandishi wa habari Uhuru Happy Mtweve baada ya kukutanishwa na ziara ya Bulembo Wilayani Biharamulo mkoani Kagera,leo
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na baadhi ya viongozi wa CCM na Jumuia zake waliompokea kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Boharamulo mkoani Kagera leo jioni
Baadhi ya madereva na Maofisa wa Jumuia ya Wazazi Tanzania wakipumzika kivulini baada ya Mkuu wa Msafara, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdalla Bulembo kuwasili hotelini kwa ajili ya mapumziko baa ya kuwasili Wilayani Biharamulo mkoani Kagera

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages