BRIGEDIA JENERALI AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkaribisha  Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo alipofika kujitambulisha jana, Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo alipofika kujitambulisha jana, Ikulu Mjini Zanzibar