WAZIRI MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA MSTAAFU ANNA MAKINDA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Spika Mstaafu, Anne Makinda, Ofisini kwa Waziri Mkuu,bungeni mjini Dodoma Mei 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)