Sunday, May 28, 2017

WANACHAMA 681 KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DAR ES SALAAM WATUNUKIWA VYETI KWA KUHITIMU MASOMO YAO

 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam Leo katika Ukumbi wa King Solomon Kinondoni.

  Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Mwenyekiti Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferouz Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu
UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam Leo katika Ukumbi wa King Solomon Kinondoni.


  Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo pamoja na Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wakiwasili Ukumbini.

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo pamoja na Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wakiteta jambo.

 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo pamoja na Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wakifurahia jambo.

 Meza Kuu wakiburudika na nyimbo ya CCM uku wa kionesha Ishara Mshikamano na Umoja
Wahitimu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Wakicheza uku wa kishikana Mikono ishara ya Umoja

 Wanafunzi wakishangilia
 Kaimu Mwenyekiti wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferous akisoma Taarifa kwa Mgeni Rasmi Katika Sherehe za Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam Leo

 Wana Vyuo na Vyuo Vikuu Wakiwa Ukumbini
 Kaimu Katibu Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Taifa Ndg Daniel Zenda akizungumza katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon Leo

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na
Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo


 Baadhi ya Wahitimu wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka
 '

 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akipeana Mkono na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM mara ya Baada ya kumaliza kuzungumza katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na
Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo


 Wanavyunzi wahitimu Wakiimba Shairi katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na
Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo


 Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha Kidemokrasia  wa kwanza kulia Ndg:Aloyce Mukami akiwa katika mahafali hayo

 Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha Madaktari MUHIMBILI akishangilia jambo katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na
Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo


 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara ndg:Rodrick Mpogolo akitoa  Vyeti kwa Wahitimu Makada wa CCM Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na
Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo


 Kada Aldelatus Mushumbusi toka Tawi Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu UVCCM Mabibo Hostel akikabidhiwa Cheti na Mgeni Rasmi Ndg :Rodrick Mpogolo katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na
Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo


  Kada Aldelatus Mushumbusi toka Tawi Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu UVCCM
Mabibo Hostel akipewa Mkono wa Pongezi na Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na
Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo


 Kaimu Mwenyekiti wa Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferouz akikabidhiwa Cheti cha pongezi na Mgeni Rasmi ndg:Rodrick Mpogolo katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na
Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo“Ujana ni rika, ujana ni wakati na wakati haurudi
nyuma” haya yalizungumzwa na  mgeni rasmi Ndg. Rodrick Mpogoro Naibu
katibu Mkuu CCM Bara kwenye mahafali ya Vijana Chama Cha mapinduzi
kutoka Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika leo
28/05/2017 katika ukumbi wa King Solomoni Kinondoni. 

Ndg.
Rodrick Mpogoro alisema, Siri pekee ya kufanikiwa kwa mtu yeyote
inategemea namna anavyotazama na kutathmini mambo. Ni mtazamo chanya
pekee ndiyo humvusha mtu kwenye mafanikio, hivyo ipo haja kwenu vijana
kujikita kutazama fursa zinazowazunguka na kuwa wabunifu ili
kujitengenezea vipato vyenu wenyewe kuliko kusubiria ajira, alisema.

"Sura
ya Chama Cha Mapinduzi inajengwa na wanachama wenyewe kwa vitendo,
jengeni uadilifu, zungumzeni habari ya uzalendo wa nchi yenu, jengeni
maslahi kwa wanyonge, jifunzeni historia ya Chama, someni katiba na
kanuni zake, fanyeni kazi kwa bidii na jengeni moyo wa kujitolea
mkifanya hayo mtafanikiwa*. Alisema.

Alifahamisha
kuwa ni vyema kwa  wanachama,  wananchi na kila mpenda amani, umoja na
maendeleo ya Taifa kuendelea   kumuunga mkono Rais wetu Mhe Dr. John
Pombe Magufuli katika juhudi anazozifanya za kupambana na ubadhilifu wa
mali za umma kwani anaiishi misingi ya Chama Cha mapinduzi kama
ilivyoainishwa kwenye madhumuni yake kupitia katiba Ibara ya 5.
*"Simameni imara katika kumuunga mkono Rais wetu kwani anaiishi misingi
ya Chama Cha Mapinduzi katika kujenga uzalendo wa nchi".

Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg Rodrick Mpogolo akizungumza na Wahitimu Makada wa CCM Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM katika Sherehe za Mahafali ya kuwaaga Makada wa CCM idara ya Vyuo na
Vyuo Vikuu uvccm Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa King Solomon  Kinondoni Leo


 Maonyesho ya karatee

PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI UVCCM

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.