Tuesday, May 2, 2017

RAIS DK MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM, LEO BAADA YA ZIARA YAKE MKOANI KILIMANJARO

 Rais Dk John Magufuli akishuka baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku tatu, ikiwemo kuhudhuria Sherehe za Siku ya wafanyakazi za Mei Mosi zilizofanyika Kitaifa mkoani humo, jana
 Rais Dk John Magufuli akipokewa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo
 Rais Dk John Magufuli akifuatana na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo
 Rais Dk JohnMagufuli akimsalimia Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Salum Ali Happy, wakati Wakuu wa wilaya za mkoa wa Dar es Salaam, walipojitokeza kumlaki Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere leo PICHA NA IKULU
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.