Monday, May 22, 2017

MWENYEKITI UVCCM SADIFA JUMA KHAMIS AZUNGUMZA NA WANACHAMA KATA YA MZIMUNI DAR ES SALAAM, LEO

Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Saad kusilawe (kulia)akimkaribisha Mwenyekiti wa  UVCCM Sadifa Juma khamis mara baada ya kuwasili katika ofisi za ccm mkoa.
 Mwenyekiti wa Uvccm Taifa Ndg:Sadifa juma Khamis akizungumza katika  kikao cha ndani na viongozi wa mkoa pamoja na Wakuu  wa idara UVCCM alipo wasili kusain kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
 
 Kaimu katibu idara ya uchumi na  fedha  UVCCM wa kwanza kulia akifuatiwa na Kaimu katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukiz Ndg:Jokate Mwegelo wakisain kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika mkutano uliofanyika katika kataMzimuni Wilaya ya kinondoni
  Kaimu katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukiz Ndg:Jokate Mwegelo akifurahi na kucheza Singeli pamoja na Vijana wa kikundi cha Hamasa Wilaya ya Kinondoni.
  Kaimu katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukiz Ndg:Jokate Mwegelo akifurahi na kumkumbatia mwana dada katika kikundi cha wasanii chipkizi Wilaya ya Kinondoni.
 Katibu wa Vijana wilaya ya Kinondoni ndg:Rashid Semindu akizungumza katika Mkutano wa viongozi na wanachama kata Mzimuni Wilaya ya kinondoni
 Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni Ndg: Anafi  Msabaha akizungumza na Viongozi na wanachama wa CCM na Jumuiya zake kata ya Mzimuni Wilaya ya kinondoni
Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni Ndg:salimu abdallah akizungumza na Viongozi na wanachama wa CCM na Jumuiya zake kata ya Mzimuni Wilaya ya kinondoni
 ''Kama kuna Mtu mwenye nia ya kutuvurugia chama muondoeni kwa nguvu zozote, msimfumbie macho hatutaki wasaliti ,Vijana chagueni Viongozi wa kutuvusha na Si Kutugawa''Alisema Ndg:Sadifa Juma Khamis Alipokua akizungumza na Viongozi na Wanachama wa CCM na Jumuiya zake kata ya Mzimuni Wilaya ya kinondoni.
Wanachama na Viongozi wa CCM na Jumuiya zake kata ya Mzimuni Wilaya ya kinondoni
wakisikiliza Mkutano(Picha na Fahadi Siraji)
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.