Friday, May 26, 2017

MAZISHI YA MZEE KITWANA KONDO YAFANYIKA JIONI SIKU YA ALHAMIS MAKABURI YA TAMBAZA JIJINI DAR

 Katibu Mkuu wa CCM, wa kwanza kushoto Ndg:Abdulrahman Kinana akibadilishana mawazo na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Dkt.Ali Hassan Mwinyi nyumbani kwa Marehemu Kitwana Kondo  aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Kigamboni
.
  Katibu Mkuu wa CCM, wa kwanza kushoto Ndg:Abdulrahman Kinana akiwa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Dkt.Ali Hassan Mwinyi wakibadilishana mawazo na aliyewai kuwa
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania Athman Jenguo
nyumbani kwa Marehemu Kitwana Kondo  aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Kigamboni

  Mwenyekiti wa chama cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na  mzee kingunge ngombali mwilu wakifurahia jambo.


Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akiwa nyumbani kwa Marehemu Kitwana Kondo  aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Kigamboni
 Mwandishi Nguli wa Vitabu Vya Simulizi zilizo pata tuzo mbali mbali Mohaammed Said Abdulla akizungumza namna alivyo fahamiana na Marehemu Kitwana Kondo  aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Kigamboni
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili Dkt.Ali Hassan Mwinyi pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Ndg:Abdulrahman Kinana wakimsikiliza Mwandishi Nguli wa Vitabu Vya Simulizi zilizo pata tuzo mbali mbali Mohaammed Said Abdulla akizungumza namna alivyo fahamiana na Marehemu Kitwana Kondo  aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Kigamboni

 Ahaj kimbisa  akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na  mzee kingunge kombali mwilu
 baadhi ya kina wanawake waliofika nyumbani kwa Marehemu Kitwana Kondo  aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Kigamboni.
 Kaimu katibu mkuu UVCCM Shaka hamdu shaka wa kwanza kulia akiwa katika mazungumzo na Mbunge wa jimbo la chalinze Ridhwan Kikwete nyumbani kwa Marehemu Kitwana Kondo 

 Ahaj kimbisa  akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, wa kwanza kushoto Ndg:Abdulrahman Kinana  nyumbani kwa marehemu  Sai Kondo aliyewaikuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Kigamboni.

 Baadhi ya Ndugu Jamaa na Marafiki wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kigamboni na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mzee Kitwana Kondo wakielekea kwenye maziko yake, Alhamisi baada ya swala alasiri katika makaburi ya Tambaza jijini Dar es Salaam.
 Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Mohammed Zuberi akitoa Mawaidha katika Msikiti wa Tambaza
 Jeneza lilobeba mwili wa Marehemu Kitwana Kondo likiwa limebebwa kuelekea makaburi ya  Tambaza yaliopo upanga jjini Dar es Salaam tayari kwa maziko.

 Wakwanza kulia Raisi Mstaafu Awamu ya Pili Dkt Ali Hassan Mwinyi, akifuatiwa na Makamu wa Rais Mstaafu awamu ya Nne Dkt Gharib Bilali pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, wa kwanza kushoto Ndg:Abdulrahman Kinana  watatu tatu  kulia  wakiwa Katika Makaburi ya Upanga kuzika Mwili wa Marehemu Kitwana Kondo  aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Kigamboni
umati wa watu uliohudhuria katika mazishi hayo
Mazishi yakiendelea....picha zote na Fahady Siraji


Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.