Tuesday, May 9, 2017

KINANA ALIVYOSHIRIKI JANA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA WALIOKUFA KWA AJALI YA GARI MKOANI ARUSHA

 Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan,  wakati wa kuaga miili ya wanafunzi 32, walimu wawili na Dereva, wa Shule ya Lucky Vincent katika Uwanja wa Sheikh Amri Abed Jijini Arusha, jana. Wanafunzi, Walimu na Dereva huyo walipata ajali katika eneo Rhotia wilayani Karatu Mkoani Arusha, May 5,  2017.
 Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana (kulia) akiwa katika tafakuri na majozni kuhusu msiba huo
 Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiungana na Makamu wa Rais na waombolezaji wengine wakati wa maombi kwenye msiba huo. Wapili ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
 Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiungana na Makamu wa Rais na waombolezaji wengine wakati wa maombi kwenye msiba huo. Wapili ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
 Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa arusha Mjini Godbles Lema kwenye msiba huo
 Majeneza ya marehemu kabla ya kuagwa
 Majeneza ya marehemu kabla ya miili kuagwa
 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akitoa salam za pole na Rambirangi kwa Wazazi, Ndugu, Jammaa na watanzania kwa jumla wakati wa msiba huo
 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwafariji wafiwa
 maombolezaji waliofurika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha 
 Majeneza yenye miili ya marehemu yalipokuwa yakiigizwa uwanjani 

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.