KATIBU TAWALA WILAYA YA MONDULI NDUGU SIYANTEMI KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI JIJINI ARUSHA LEO


Katibu Tawala wa Wilaya ya Monduli Robert Siyantemi  akiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Kimkoa maadhimisho hayo yamefanyika Uwanja wa Sheik Amriabed Arusha leo tarehe 1/5/2017