HABARI MPYA

Your Ad Spot

May 26, 2017

BULEMBO ANZA ZIARA YA KIKAZI KATIKA MIKOA MITANO LEO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo, leo ameanza ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama na Jumuia zake, katika mikoa ya Manyara, Tabora, Kigoma, Kagera na Geita, Pichani, Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabaraza ya Jumuia za CCM na Mabalozi wa CCM wa kumi zilizo karibu na Makao Makuu ya  Wilaya ya Kiteto, leo katika Ukumbi wa CCM Wilaya hiyo.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo, akilakiwa na Kaimu Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Manayara, Injinia  Shekue Pashua alipowasili katika mkoa huo akitokea mkoani Dodoma, kuanza ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama katika mkoa huo, leo. Kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Manyara Pazo Mwamlima.
 Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Tumaini Magesa (kulia) akimlaki Bulembo na Msafara wake,  alipowasili katika mkoa huo akitokea mkoani Dodoma, kuanza ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama katika mkoa huo, leo.  Wapili Kulia ni Mlezi wa CCM Wilaya ya Kiteto, Mbunge wa Hanang Dk. Mary Nagu
 Msaafara wa Bulembo ukielekea Ofisi ya CCM, Wilaya ya Kiteto leo
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo akiwasili Ofisi ya CCM wilaya ya Kitetokuanza kazi
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akisainikitabu cha Wageni katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Kiteto baada ya kuwasili. Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Manyara Injinia Shekue Pashua
 Bulembo akimskiliza Kaimu Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kiteto Injinia Shekue Pashua, alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya kisiasa na mwenendo wa hali ya uchaguzi wa CCM ngazi za mashina  
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM wilaya ya Kiteto baada ya kusaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM, Wilayani humo leo.  Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Manyara Pazo Mwamlima na Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Injia Shekue Pashua
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM wilaya ya Kiteto baada ya kusaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM, Wilayani humo leo
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akiwasili kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabaraza ya Jumuia za CCM na Mabalozi wa CCM wa kumi zilizo karibu na Makao Makuu ya  Wilaya ya Kiteto, leo 
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabaraza ya Jumuia za CCM na Mabalozi wa CCM wa kumi zilizo karibu na Makao Makuu ya  Wilaya ya Kiteto wakimshangilia Bulembo alipowasili ukumbini kuzungumza nao leo  
 Baadhi ya wajumbe ukumbini
 Baadhi ya wajumbe ukumbini
 Wajumbe wakinyoosha mikono kuunga mkono jambo 
 Katbu wa CCM Wilaya ya Kiteto akimkaribisha Bulembo kuzungumza
 Mmoja wa viongozi waliofuatana na Bulembo kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Ndugu Kalolo akisalimia
 Kalolo akikoleza salam zake

Mlezi wa CCM Wilaya ya Kitedo Mbunge wa Hanang, Dk Mary Nagu akisalimia wananchi wajumbe alipotambulishwa
 Katibu wa Siasa na Oganaizesheni wa Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Makao Mkuu, Ndugu Mgaya akisalimia wajumbe baada ya kutambulishwa

 Meza kuu wakisimama kucheza wimbo wa 'CCM Nambari wani' baada ya kuanzishwa na wajumbe kuchangamsha ukumbi 
 Mmoja wa viongozi wa CCM akionyesha ushangiliaji wa furaha wakati wa kikao hicho
  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabaraza ya Jumuia za CCM na Mabalozi wa CCM wa kumi zilizo karibu na Makao Makuu ya  Wilaya ya Kiteto, leo katika Ukumbi wa CCM Wilaya hiyo.PICHA ZOTE NA BSHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages