SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA TAASISI ZA MAENDELEO SHIRIKISHI

 Spika wa Bunge Job Ndugai (Kushoto) akisalimiana na Meneja wa Taasisi Shirikishi za Kidemokrasia Issifu Lampo na Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Kym McCarty (katikati),  Ofisini kwake Mjini Dodoma, leo
Spika wa Bunge, Job Ndugai (Kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ofisini kwake Mjini Dodoma leo.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)