KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA UPANDAJI MITI WILAYANI ILALA, CHAFANA, LEO KWENYE KATA YA MSONGOLA

Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipanda mti wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo mkoani Dar es Salaam. Wapili kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo ya Ilala Edward Mpogolo na Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipanda mti wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo mkoani Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo ya Ilala Edward Mpogolo
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akimwagilia maji baada ya kupanda mti wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo mkoani Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo ya Ilala Edward Mpogolo na Kulia ni Katibu Tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akimwagilia maji baada ya kupanda mti wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo mkoani Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti anayeshughulika na Mazingira Amina Maulidi akimvisha Skavu wa Skauti, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema alipowasili katika shughuli hiyo ya upandaji miti. ZIFUATAZO NI MFULULIZO WA MATUKIO YALIYOJIRI WAKATI WA KILELE HICHO. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.