LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 1, 2017

ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR VUAI ALI VUAI KATIKA ZIARA YAKE YA JIMBO LA RAHALEO UNGUJA.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai Akizungumza na viongozi, watendaji na wanachama wa Jimbo la Rahaleo katika ziara anayofanya Mkoa wa Mjini kichama.
 Mwenyekiti wa Mkoa wa Mjini Borafya Silima Juma akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho.
 Mwakilishi wa jimbo la Kikwajuni Nassor  Salim Jazeera akizungumza machache na wanachama hao
 Mwenyekiti wa Jimbo la Rahaleo Juma Khamis Ame akizungumza katika ziara hiyo iliyofanyika katika Tawi la Mwembeladu Mjini Zanzibar
 Baadhi ya Wanachama wa CCM wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi katika ziara hiyo
Vijana wa CCM wakiwafuatilia nasaha mbali mbali zinazotolewa na viongozi hao katika ziara hiyo ya kuimarisha chama hicho, inayofanyika katika Mkoa wa Mjini

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages