Wednesday, March 8, 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA YAKE MDOGO MHE JAKAYA KIKWETE

Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohudhuria mazishi ya Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa Dk. Jakaya Kikwete nyumbani kwa marehemu Bagamoyo mkoani Pwani leo Machi 8, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Aboubakar Zubeir akiwaongoza waumini wa dini ya Kiislam katika ibada ya kuuswalia mwili wa Marehemu Bibi. Nuru Khalfan Kikwete, ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, nyumbani kwa marehemu Bagamoyo Mkoani Pwani Machi, 8 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati), akiwa ameongozana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete (wa nne kulia mstari wa mbele), Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda (kulia), Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamisi Juma (wa pili kulia), Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (wa tatu kulia) , Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa nne kushoto) pamoja na viongozi wengine na wananchi wa ujumla, wakielekea kwenye Mazishi ya Bibi. Nuru Halfan Kikwete, ambaye ni mama mdogo wa, Mh. Kikwete, nyumbani kwa marehemu Bagamoyo Mkoani Pwani Machi, 8 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,ashiriki mazishi ya Bibi. Nuru Halfan Kikwete, ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Kikwete, nyumbani kwa marehemu Bagamoyo Mkoani Pwani Machi, 8 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.