Sunday, March 19, 2017

WANAOTAKA UBUNGE BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUPITIA CCM WAANZA KUCHUKUA FOMU LEO

 Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Dk. Egina Makwabe, wakati fomu zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.  
 Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Leonce Nicholaus Mulenda, wakati fomu zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. 
 Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Zainab Kawawa, wakati fomu zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mbunge wa Bunge hilo anayemaliza muda wake,Charles Makongoro Nyerere, wakati fomu zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk. Evance Mujuni Reikiza, wakati fomu zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Shedrack Mana Mashauri, wakati fomu zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Aliyewahi kuwa Miss Tanzania wa mwaka 1998, Kada wa CCM, Basila Kalabha Mwanukuzi akiwa na mtoto wake, Patrick Nubi, baada ya kuchukua fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam,leo. 
 Baadhi ya makada wa CCM waliokuwa walipokuwa wakisubiri kuchukua fomu za kuwania ubunge wa Bunge a Afrika Mashariki, wakionekana kusubiri kwa hamu  fomu hizo mmoja baada ya mwingine.
 Vijana kadhaa pia wamejitokeza kuchukua fomu hizo, mongoni mwao ni hawa, wakisubiri kuchukua fomu katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM Moses Bahati Ole-Neselle.
 Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki,  Kada wa CCM, Grace Emmanuel Sameji.
Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Nicholaus George Ngassa.(Picha zote na Bashir Nkoromo)
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.