Monday, March 13, 2017

SHIRIKISHO WALIVYONG'ARA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM MJINI DODOMA JANA

 Mweyekiti wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM Zainab Abdallah Issa akiwa na baadhi ya viongozi wa Shirikisho hilo katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, wakati wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCMuliofanyika jana mjini Dodoma 
 Viongozi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM wakishangilia wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli alipowasili ukumbini
 Kaimu Ktibu Mtendaji wa Shirikisho hilo Daniel Zenda akielekezana jambo na Katibu Msaidizi wa Shirikisho hilo, Debora Charles, wakati wa mkutano huo. Kushot ni Mwenyekiti wa Shirikisho hilo mkoa wa Morogoro, Okaro Edward
 Kaimu Ktibu Mtendaji wa Shirikisho hilo Daniel Zenda akielekezana jambo na Debora, wakati wa mkutano huo
 Kaimu Ktibu Mtendaji wa Shirikisho hilo Daniel Zenda (kulia), akitazama mambo yalivyokuwa yakiendelea ukumbin. Kushoo ni Mwenyekiti wa Shirikisho mkoa wa Mara Hamid Mhina, Mwenyekiti wa shirikisho Morogoro Okaro Edward na Katibi Msaidizi wa Shirikisho hilo Debora Charles
 Mwenyekiti wa shirikishohilo mkoa wa Mtwara Christopher Nyunza,akijinafasi kwenye bango la Shirikisho hilowakati wa mkutano huo.
 Ukumbi ukiwa umesheheni wajumbe na waalikwa kwnye mkutano huo, Viongozi wa Shirikisho (upande wa kulia) nao wakiwemo
 Mwenyekiti wa Shirikisho mkoa wa Morogoromo, Okaro Edward (kushoto) ajikiandaa kweda kumalimia Mwenyekiti wa shirikisho hilo mkoa wa Mara Hamidi Mhina
 Mwenyekiti wa Shirikisho mkoa wa Morogoromo, Okaro Edward (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa shirikisho hilo mkoa wa Mara Hamidi Mhina
 Okaro akiteta jambo na Wanashirikisho wenzake ukumbini, kulia ni Irene Mdoe, Msaidizi wa Katibu wa NEC, Itikadina Uenezi.
 Okaro na Demora wakifuatilia hali ya mambo ukumbini 
 Mwenyekiti wa Shirikisho mkoa wa Mtwara Christopher Nyunza akifurahia jambo na Waziri wa Nishati na Madini Sospeter Mhongo, wakati wakiwa ukumbini wakati wa mkutano huo.
 Vijana wa Shirikisho wakimwayamwaya ukumbini pamoja na wajumbe na waalkwa wengine wakati wa mkutano huo.
 Vijana wa Shirikisho wakiwa imara kamba la kuingia ukumbini. Kulia ni Debora na Katikati ni Zenda wakiwanakijana mwenzao wa Shirikisho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.