Friday, March 3, 2017

RAIS DK SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI WALIOTEULIWA KUIWAKILISHA TANZANIA NCHI ZA NJE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Dkt. Pindi Kichana anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya akiwaongoza Mabalozi wengine walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais, leo 03/03/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania Nchi za Nje hivi karibuni wakiongozwa na Balozi Dkt. Pindi Kichana(wa pili kulia) anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais, leo 03/03/2017. (Picha zote na Ikulu)
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.